Don’t Call Me Lyrics
King Kaka X Pascal Tokodi-Don’t Call Me
Kama si pesa ukatili buda,
Don’t call me,
Kama ni mradi ,haina do
Kama ni ufala, sina time buda
Don’t call me, kama si pesa,
Kama si Pesa,
Kama si Pesa,
Buda don’t call me
Si jasho imwagike, na ninawaks
Naekea bidiii,
Business ni pesa,
Feelings pelekea bibi,
Please usiniombe do,
Tutaharibu urafiki believe me,
Italeta unafiki,
Hustle gang, kabla niende
Juu juu kwa baba,
Maboy wangu backleft,
Wako juu juu ya jaba
Ukigusa pesa yangu, buda nitakutendea
Kama sio biz, buda bado tembea
Bible inasema, I’ll prepare
Table waone nikidishi
Rappers, wako down
Anamake moves ,zile mi nawish
Kwa public maselfie kwa DM matusi,
No wonder pesa hubring jealousy na chuki
Kama si pesa, ukatili buda
Don’t call me,
Kama ni mradi,haina doh
Don’t call me
Kama ni ufala, sina time buda
Don’t call me
Kama si pesa,
Kama si Pesa, Kama si Pesa,
Kama si Pesa, Kama si Pesa
Buda don’t call me,don’t call me
Na vile nahold notes, utadhani niko choir
Acha pesa iongee, usidhani niko queit
Mkono iko na paper ,caps utadhani ni ya mjengo
Hapo nje ya bank, ndo nawekaga mtego
Another one,
Khalid anajua, Kaka ako na key
Energy ni ya servant ,na jina ni ya king
Hii sio biz namba mteja,
Siku hizi league buda major
Chinku nipe moja keja,
Alafu cheque pewa,
Saa nilikuwa na dondo,
Kichwa ilikuwa na cornrows
4 days in a row bro,
Inahitaji raho jo,
Na hizi sio ,ma low blow
Wanajua unadeal na top shatta
Bado hauongei pesa, buda shut up
Kama si pesa ukatili buda
Don’t call me,
Kama ni mradi haina doh
Don’t call me
Kama ni ufala sina time buda
Don’t call me
Kama si pesa, kama si pesa
Kama si (Pesa) Kama si (Pesa)
Kama si (Pesa) Kama si (Pesa)
Buda don’t call me, don’t call me
No comments yet