Dodoma 2 Lyrics
King Kaka -Dodoma 2 ft Harry kimani
Yeah Yeah okay
Nitize Kama nyingine
Naelekea train stesheni
Mafikira ninazo Kuhusu marehemu betty
Moyo wangu ulikua shamba na yeye alikua mbegu
Ninyunyuzie mayai Nikidhani itakua mti mrefu
Kumbe ya Mungu Ni mengi
Wanasheria wananisaka
Yaliofuata Ni hao kunidadisi dadisi
Vita aliponiandikia matukio kwa ukamili kamili
Nilionekana na Betty kabla Siku zake za Mwisho
Kupatikana kwangu yanatia kesi uzito
Bidhaa kutoka dadaa na dodoma
Siamini nashangaa Sanar Sanar Ni yoga
Tanzania nilishikwa kaa suspect mwenye bidhaa
Nikatupwa gerezani Nairobi industrial area
Betty Betty mbona umeniacha
Akilini ninazo picha
Betty Betty Beetyyyy
Aaaaaah Betty
Betty Betty mbona umeniacha akilini ninazo picha zako
Betty Betty Betty Aaaaaah oooooh
Uko ndani matarijio ilikua kukomboa mafikira
Kazi ya uchovu mvumilivu hula ndoto kwa sakafu
Huku chawa zinanikula
Mara ishirini sufuri tano
Walitoa hela fulani
Ya hela sijui mi betty nilimpenda
Betty Betty mbona umeniacha akilini ninazo picha zako
Betty Betty mbona umeniacha akilini ninazo picha zako
Betty Betty aaaaaaaah Aaaaaah
No comments yet