King Kaka ft Wakadinali – Pull Up Lyrics

Free di mandem
Free di man straight
Ricco Beats Mr 808

Naeza pull up, Naeza pull up
Naeza pull up, Naeza pull up
Naeza pull up na kirende naeza pull up
Naeza pull up na kirende naeza pull up
Naeza pull up, naeza pull up

Okay, naeza pull up na kama nyonginyo
Deliver kama Dominos
Natoka East nmahali sura ziko na Scarface
Usibonge shit weapon zitasurface
Nditni ndani mdomo ina spliff
Huskii jo mtaani monyo inasplit
Shang chaji mkoro anatii
Hadi ndia chuom nakojoa kwani
Hii ni Rong Rende niko na pee
Ni Britney kwani mtoto wa D
Beat ni mbitch mpono kwa lift
Mint ni mtaa ni koro kwa lips
Ni risky bora monyo itii
Uuh man you need to school up
How they can assume us
Msupa akipull up, mi ni nani
Mi napull out

Flow inaanguka bro
Huku si uchana kushinda hao magoats
254 tumedu Umo mtuachie maform ndo tutaacha mamtoo
Si ndo hukuwa wa mwisho kwa ploti
Na tukiingia jo usiexpect uknock
Hit on your door, gate kwa street
So waitii tumehit tick head

Naeza pull up na kirende naeza pull up
Naeza pull up na kirende naeza pull up
Naeza pull up, naeza pull up
Naeza, naeza pull up
Naeza pull up, naeza pull up
Naeza pull up

Hio ndo sound ya KRPG
50K just to rap with me
She fuck me, fuck Dosh, fuck Slim
Track tik so dope so clean
Niko kwa meza nameza beef
I say inatosha mboga
Ka convo sio Biz
Nakeep brief ka ngotha
Mi niko things waresh wako niko tuned
Niko king one less, wako niko bling
Mi niko tingz waresh wako niko tuned
Niko king one less, wako niko bling
More fire tukistep in the building
Na uongo mingi please don’t trust us
Zi huwaka kama solar ya Mwingi
Tunajua OCPD please don’t trust us
Mi ni wa kitambo niko loaded na arrows
Robbing your hood
Ulienda ng’ambo
Ukaacha mtoi na matha wa kambo
Hapo junction gizani nilipita
Acha vako ni heri Lupita
Mrs Munga sinyorita
Nilimshow we ni msupa akajipa
Michael Blackson, Eddie Butita
Duke of East, Eastlands wananyita
Kwisha kwisha kwisha


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists