Killy – Itafika Lyrics

Mungu ndo mtoa riziki
Hata niwe nimepata niwe nimekosa
Sina sihadaiki, nishachanga karata
Paka ushajitosa
Leo unaniona na dhiki
Kesho nitazipata kwenu nitoe posa
Nichuna marafiki masikio wasije kukukamata
Nikaja kukukosa mama
We ndo wa kunionea huruma, huruma huruma
Usijeachalia mbachawe akavuma, vuma vuma
Nikapata taabu we ukipotea dhuluma, dhuluma dhuluma
Ukikosea utanirudisha nyuma, nyuma nyuma
Najua siwezi kukugharamikia
Hali yangu tete tete
Naugua wazi nishajifia
Nije nikuvishe pete pete
Mara ukasepa ukaja nikimbia
Nikabaki pekepeke
Niahidi kuwa hutonitafutia
Vijisababu ukanitupa

Itafika tu, itafika tu itafika
Itafika tu, itafika tu itafika
Zamu yetu itafika tu, itafika tu itafika
Itafika tu, itafika tu itafika
Ukiniacha nitajichimbia shimo

Mbali najitahidi sana
Nimeweka nadhiri siwezi kuficha
Maana roho itauma aah
Kiukweli eti tushafanana
Naomba uvitunze vya siri usiku kukicha
Wakose vya kusema aah
Eh nyota usije kuififisa nitapata taabu
Eh marashi ukijifukiza nitamisi ajabu
Eh ona kwako mi nishamaliza na nina adabu
Eh mama we umepitiliza unanitoa ghadhabu
Najua siwezi kukugharamikia
Hali yangu tete tete
Naugua wazi nishajifia
Nije nikuvishe pete pete
Mara ukasepa ukaja nikimbia
Nikabaki pekepeke
Niahidi kuwa hutonitafutia
Vijisababu ukanitupa

Itafika tu, itafika tu itafika
Itafika tu, itafika tu itafika
Zamu yetu itafika tu, itafika tu itafika
Itafika tu, itafika tu itafika
Ukiniacha nitajichimbia shimo


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists