Killy – Ilete Lyrics

The only thing I want to say
Chunga usijekuniacha ukalete tafarani ikaja kuwa ndoto
Hata sing’oki kwako sikosei tena unizalie na mapacha
Nitaweka mambo hadharani wapate joto
Sio kama najigamba uongo kwangu mwiko (Mwiko mwiko)
We ndo wangu namba moja niko ( niko niko)
Usijekata kamba we ndo langu jiko
Yaani wasijaribu kukungoja nipo
Hata kukikucha alfajiri, aaaaah
Jogoo akishawika unapambana na yeye, unapambana na ye ye
Mpaka nasemaga subiri, aaaaah
Jasho lanitiririka unakazana na ye ye
Unakazana dah
Pasi huku niweke kimyani

Ah ilete ilete ilete, ah ilete
Nile nisaze, ah ilete ilete ilete, ah ilete
Umenikolea, ah ilete ilete ilete, ah ilete
Nichanganye nipumbaze, ah ilete ilete ilete, ah ilete
Nagongelea

Nishakiopolea kilichobaki ni ubani
Nishachana nyavu anaongea na wanatupandisha dhamani
Aah sitaki kukuona ukiwa unalia aaah
Nishajikoki utapona nitakupatia raha aaah
Na niseme nishakuwa pole
Utakifanya vibaya aaah
Unawomesha wataona ata kwa bahati mbaya aaah
Hata kukikucha alfajiri, aaaah
Jogoo akishawika unapambana na yeye, unapambana na ye ye
Mpaka nasemaga subiri, aaah
Jasho lanitiririka unakazana na yeye
Unakazana dah
Pasi huku niweke kimyani

Ah ilete ilete ilete, ah ilete
Nile nisaze, ah ilete ilete ilete, ah ilete
Umenikolea, ah ilete ilete ilete, ah ilete
Nichanganye nipumbaze, ah ilete ilete ilete, ah ilete
Nagongelea


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists