Killy ft Harmonize – Ni Wewe Lyrics

Kama mapenzi ni uchawi umeniendea ngende
Maana nahisi nimezaliwa nije nikupende
Aah! Jangwani pakavu umeota mtendee
Eeh! Waubani waubavu sema wapi twendeee
Jua mapenzi ni siri iiiih yani toka enzi zile za mababu
Usije ukaghairi babee mazoea yakanipa tabuu uuuh
Aaaaah chu chu chu basi nipe hata kiduchu
Sifa ya mume awe na uchu usiruhusu nikapiga puchu
Eeeh chuchuchu basi nipe hata kiduchu
Sifa ya mume awe na uchu usiruhusu nikapiga puchuuh uuh uh
Ooh baby you make me sing this song

Ni wewe ni we (ni weeh)
Ni wewe (i don’t wanna do you wrong)
Ni wewe (oh baby ni wee)
Njagala kuvaa nawee
Ni wewe ni we
Ni wewe ni we
Ni wewe ni we (eeh njagala kuvaa nawee ma baby)

Mapenzi asili yake upofu na unapopenda hupaoni
Usishangae mtu kuacha minofu na akala vya vichochoroni
Aaaaah Halima kwa ajili yako ninajinyima
Penzi nishakatia na bima
Moyo wangu kata we ndo kisima mmmh baby baby
Nakuitaga mtaka cha uvungu kwa maana hata tabu kuinama
Na unapolishika hilo rungu mwenzako vinywele vinanisimama
Aaah tututu usizinyoe nikusuke mabutu
Mkunaji kapewa ukurutu
Yani kama chuma kinaliwa na kutu
Aaah tututu usizinyoe nikusuke mabutu
Mkunaji kapewa ukurutu
Yani kama chuma kinaliwa na kutu
I swear baby you make me sing this song

Ni wewe ni we (ni weeh)
Ni wewe (i don’t wanna do you wrong)
Ni wewe (oh baby ni wee)
Njagala kuvaa nawee
Ni wewe ni we
Ni wewe ni we
Ni wewe ni we (eeeh njagala kuvaa nawee ma baby)


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published.

Search Artists