Killy ft Christian Bella – Niambie Lyrics

Akipita majirani macho kodo
Wanatamani anipotee
Niko naye toka long time yeah
Long time yeah
When she smile kabisa ndo sichoropoki
Sitamani hata anikosee
Huyu ndio yeye, yeye yeye
Girl I want you be my wife, kweli mama
If I see you everytime nitaringa
Nimekutana na kila type umenipata
Unanipa mambo yote iyee
Kipenzi changu cha ngama
Dozi inawauma tizama
Fanya wainuka wainama aiyoo
Chezesha nyonga waonyeshe simama
Kabla jua halijazama
Sio leo mpaka kiama aiyoo

Niambie, give me love, give me love
Am giving you more
Niambie, baba na mama yangu wakuone
Niambie, ah am in love
Twende zetu kwa baba na mama
Na ndugu, marafiki wote wakujue ye ye

Oh ah, ye ye ye ye ye uwoo
Mmmh mmh
Naomba kwa Mola atulinde
Usiku na mchana atukinge
Hujanizima mimi nishapoa si unajuaga
Sema jina gani nikuite
Ama sifa gani nikumwagie
Nikikuona napona, kwako taabani
Girl I want you be my wife, ukweli mama
If I see you everytime nitaringa
Nimekutana na kila type we umenipata
Unanipa mambo yote ye ye ye
Kipenzi changu cha ngama
Dozi inawauma tizama
Fanya wainuka wainama, ye ye ye
Chezesha nyonga waonyeshe simama
Kabla jua halijazama
Sio leo mpaka kiama aiyoo

Niambie, give me love, give me love
Am giving you more
Niambie, baba na mama yangu wakuone
Niambie, ah am in love
Twende zetu kwa baba na mama
Na ndugu, marafiki wote wakujue ye ye

Nipe kidogo mwenzako niko hoi
Kwako mi siendi popote
Na nimekuganda ka kupe
Usinitoe baby yeah
Nipe kidogo mwenzako niko hoi
Kwako mi siendi popote
Umenituliza umenipaka upako baby yeah


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists