Kwenda Lyrics
Khaligraph Jones-Kwenda
Sipendi mangoma za Kenya
Kwenda
Mi sitambui Omollo
Kwendaa
Ah si huyu boy huringa
Kwendaa
Mi sijai hire madinga
Kwendaa Shenzi
Mi sipendi hizo mangoma
Kwenda
Mi sitambui Omollo Kwenda
Manze huyo boy huringa Kwenda
Mi sijai hire madinga Kwendaa Shenzi
Imebidi nijirushe kwa debe
Hizo makura lazima nibebe
Rao na Ruto wameingiza njeve
Kijana anasema wanataka kujua
Omollo pekee ndo amesimamisha reggea Omollo, Omollo,
Ka nakuboo chukua wembe umeze
Na hapa sikuji ndo niwambembeleze Kwendaa
Swag imetii imepandishwa ndege Zoom, zoom, zoom
Nakashikisha utadhani ni veve
Mcsk wanahitaji mateke
Nitakuja kwa ofisi niwabakishe ndethe Kwendeni huko matako
Wasanii ndo mmeamua mtese Wasanii ndo mmeamua mtese
Kwenda pesa zetu mlete Kwendaa
Mi nitawakatakata hizo pembe
Mi nitawakatakata hizo pembe
Wera hampigi nyi ni wazembe
Wera hampigi ,nyi ni wazembe
Hakuna kuhepa kwanza tujenge
Tupeeni hizo mapesa
Rende ni rong, mbogi ni genje
Mavijana wanalia unenge Mavijanaa hawajadishi kakitu
Na bado mnafinyilia wagenge Pesa iko wapi we nilipe
Kwa sai tumegoma wacha kaende Wacha kaende mimi sitaki
Na siko solo niko na kirende
Sipendi mangoma za Kenya (Kwendaa)
Mi sitambui Omollo (Kwendaa)
Ah si huyu boy huringa (Kwendaa)
Mi sijai hire madinga (Kwendaa) Shenzi!
Mi sipendi hizo mangoma Kwendaa)
Mi sitambui Omollo Kwendaa
Manze huyo boy huringa Kwendaa
Mi sijai hire madinga Kwenda Shenzi
Mashonde kwa DM but mi sijibu
Ju najua ni jina unataka kuharibu
Ukiachwa wachika achana na wivu
Na mimi Omollo mimi sijibu
Na ka sikutaki nitakwambia kwenda
Ju nikiwa juu ndo nyi hunipenda
Chorea hii mbogi inaweza kutenda
Na chini ya waba wako na ajenda
No comments yet