Kwenda Lyrics
Khaligraph Jones-Kwenda
Depo on the Beat
Sipendi mangoma za Kenya Kwendaa
Mi sitambui Omollo Kwendaa
Ah si huyu boy huringa Kwendaa
Mi sijai hire madinga Kwendaa Shenzi
Mi sipendi hizo mangoma Kwendaa
Mi sitambui Omollo Kwendaa
Manze huyo boy huringa (Kwendaa)
Mi sijai hire madinga Kwendaa Shenzi
Imebidi nijirushe kwa debe Imebidi nijirushe kwa debe
Hizo makura lazima nibebe Hizo makura lazima nibebe
Rao na Ruto wameingiza njeve (Kijana anasema wanataka kujua
Omollo pekee ndo amesimamisha reggea Omollo, Omollo, Omollo
Ka nakuboo chukua wembe umeze (Mezaa
Na hapa sikuji ndo niwambembeleze (Kwendaa
Swag imetii imepandishwa ndege (Zoom, zoom, zoom
Nakashikisha utadhani ni veve (Ohh, oooh, ooh
MCSK wanahitaji mateke MCSK wanahitaji mateke
Nitakuja kwa ofisi niwabakishe ndethe (Kwendeni huko matako)
Wasanii ndo mmeamua mtese (Wasanii ndo mmeamua mtese)
Kwenda pesa zetu mlete (Kwendaa!)
Mi nitawakatakata hizo pembe (Mi nitawakatakata hizo pembe)
Wera hampigi nyi ni wazembe (Wera hampigi nyi ni wazembe)
Hakuna kuhepa kwanza tujenge (Tupeeni hizo mapesa)
Rende ni rong, mbogi ni genje (Rende ni rong, mbogi ni genje)
Mavijana wanalia unenge (Mavijanaa hawajadishi kakitu)
Na bado mnafinyilia wagenge (Pesa iko wapi we nilipe)
Kwa sai tumegoma wacha kaende (Wacha kaende mimi sitaki)
Na siko solo niko na kirende (Na siko solo niko na ki)
Sipendi mangoma za Kenya (Kwendaa)
Mi sitambui Omollo (Kwendaa)
Ah si huyu boy huringa (Kwendaa)
Mi sijai hire madinga (Kwendaa) Shenzi!
Mi sipendi hizo mangoma (Kwendaa)
Mi sitambui Omollo (Kwendaa)
Manze huyo boy huringa (Kwendaa)
Mi sijai hire madinga (Kwendaa) Shenzi!
Mashonde kwa DM but mi sijibu (Sijubuuu)
Ju najua ni jina unataka kuharibu (Haribuu)
Ukiachwa wachika achana na wivu (Wachana na mimi)
Na mimi Omollo mimi sijibu Omollo
Na ka sikutaki nitakwambia kwenda Kwendaa
Ju nikiwa juu ndo nyi hunipenda (Pendaa)
Chorea hii mbogi inaweza kutenda (Tendaa)
Na chini ya waba wako na ajenda (Hahaha)
Nikiwa Kayole utanip
No comments yet