Nimewaka Lyrics

Khadija Ziota & Harmorapa  Nimewaka Lyrics

Khadija ziota ft Harmorapa Nimewaka cover image

Waka Waka Waka
Waka nikilala jela
Na kupenda ziota
Nayo zako nachota na Vitamba

Vipi papa nimewaka
Sitakuchezea Kama Omondi na Tanasha
Nikuzalishe
Nitakupenda Kama Sarah na Konde

Ikibidi na hodi nigonge
Kionje kikombe
Vidonge nipone
Nikoneshe nisiende nikusahau
Nileweshe nikupende nisikudharau

Nimewaka na gear nimewaka na gear
Nimewaka na gear Waka na gear
Nimewaka Waka Waka Waka
Waka Waka Waka Waka
Nimewaka na gear

Baby nitakusudu nitakulinda
Mbele ya dudu na pia sitaki Tena mzungu
Wape kuni wazidi kupika majungu
Hatuwachani Kama Vanessa Na Jux

We ni wangu Kama Rasta na Kushi
Ulima na Bush Ni Kama paka na Vumbi
Sivuti bhangi sionekani na chupi

Nakupenda Harmorapa
Tatizo lako baba
Naskia mafuta ulipakwa
Wenye wanaonea nikubakwa

Waache Visa
Wamejua Ushanimaliza
Kivunje Kikombe
Nipe vidonge nipone
Umebeba Kombe
Funga Tena Nikome

Nikomeshe nisiende nikawaka
Nileweshe nikupende nisikudharau
Nimewaka na gear Waka na gear
Nimewaka Waka Waka Waka Waka
Nimewaka Waka Waka Waka Waka
Nimewaka na gear
Nimewaka na gear


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists