Kayumba – Mapenzi Yanauma Lyrics
Aah aah aah
Eeh eh eh
Nimebadili mishitwa
Nimebadili mishitwa wapi nitaweka sura yangu
Samaki mbichi nimesahau kumpinda
Amejirudi imekuwa hasara kwangu
Oh oh hasidi hasidi, hana sababu hata akisingizia
Lazizi mkaidi, atafaidi ladha siku za dhiki
Najifosi nisikate tamaa
Na kupenda changu inaniuma
Kinachoniuma wuda wuda
Nimepoteza we hapa ni unda
Agaye akanizidi nilipozama wiu wiu wiu
Nimenyauka waridi kwa kumwagiwa acidi
Jamani mapenzi yanauma
Mapenzi yanauma
Oh oh mapenzi yanauma
Mapenzi yanauma
Bora ungekuwa mkanda DVD nyuma ningerudisha
Ulinifanya siambiliki sisikii yaani ukaniviringisha
Nimeamini mapenzi kuna namna ameungana na nyama
Hisia za nipeleke siwezi, kumbukumbu zangandamana
Najifosi nisikate tamaa
Na kupenda changu inaniuma
Kinachoniuma wuda wuda
Nimepoteza we hapa ni unda
Agaye akanizidi nilipozama wiu wiu wiu
Nimenyauka waridi kwa kumwagiwa acidi
Jamani mapenzi yanauma
Mapenzi yanauma
Oh oh mapenzi yanauma
Mapenzi yanaumaa
No comments yet