Mungu wa Ishara Lyrics
Moyo wangu ukuinue
Mungu wa Ishara
Dhabihu yangu uipokee
Mungu wa Ishara
Umetenda mambo makuu
Mungu wa Ishara
Hakika wewe ni Mungu
Kama Ulivyo tenda
Hapo mwanzo tenda tena
Mungu mwenye nguvu haushindwi kamwe
Tunakutazamia
Ulifufua wafu, nakuponya magonjwa
Vipofu wakapata kuona
Yote ukiyatenda kwa utukufu wako
Yesu twakuabudu
Ulifufua wafu, nakuponya magonjwa
Vipofu wakapata kuona…
Yote ukiyatenda kwa utukufu wako
Yesu twakuabudu
Mungu wa Ishara
Mungu wa Miujiza Tunakuabudu
Mungu wa Ishara
Mungu wa Miujiza Tunakuabudu
Mungu wa Ishara
Mungu wa Miujiza Tunakuabudu
Mungu wa Ishara
Mungu wa Miujiza Tunakuabudu
Wewe ni Mungu muweza yote
Usiyeshindwa
Ishara zako Twaona
Nguvu zako Twaona Yahweh
Kama Ulivyo Ahidi Tenda
Ooohh Tenda tena Baba
Tasa uwape watoto Tenda
Ooohh Tenda tena Baba
Waliofungwa, kukataliwa Jehova Tenda
Ooohh Tenda tena Baba
Waliyolaaniwa vunja laana
Tenda Muujiza tukuone
Mungu wa Ishara
Mungu wa Miujiza Tunakuabudu
Mungu wa Ishara
Mungu wa Miujiza Tunakuabudu
Mungu wa Ishara
Mungu wa Miujiza Tunakuabudu
Mungu wa Ishara
Mungu wa Miujiza Tunakuabudu
Wewe ni Mungu Usiyeshindwa Tunakuabudu
Wewe ni Mungu Usiyelala Tunakuabudu
Wewe ni Mungu Usiyebadilika Tunakuabudu
Wewe ni Mungu Muweza yote Tunakuabudu
Wewe ni Mungu Usiyeshindwa Tunakuabudu
Wewe ni Mungu Usiyelala Tunakuabudu
Wewe ni Mungu Usiyebadilika Tunakuabudu
Wewe ni Mungu Muweza yote Tunakuabudu
Mungu wa Ishara
Mungu wa Miujiza Tunakuabudu
Mungu wa Ishara
Mungu wa Miujiza Tunakuabudu
Mungu wa Ishara
Mungu wa Miujiza Tunakuabudu
Mungu wa Ishara
Mungu wa Miujiza Tunakuabudu
(Kenyan gospel)
No comments yet