Neema Lyrics
Kambua-Neema
Ingekua jambo la kustahili
Sijui ningekua wapi
Ingekua sababu ya matendo sijui ningetupwa wapi
Ingekua kulinganishwa sijui ningeita Nani
Ningeitwa marehemu
Ningeitwa mimi tasa
Ningeitwa sifa
Asante Yesu kwa neema Yako
Wokovu nimepata bure
Yesu kwa neema Yako kufa ningekufa
Asante Yesu kwa neema Yako kutupwa
Ningetupwa
Jalala ungenipata nikila uchafu
Msituni ungenikuta nikila majani
Jalani ungenipata nikiwa mchafu
Msitu wangenitupa niishe na wanyama
Mnyonge mimi wangenidharau
Dhaifu mimi wangenikanyaga tu
Sina Nguvu mimi wangenimaliza tu
Ningetupwa kwenye shimo la simba
Ningetupwa kwenye tanuru la moto
Niangamie
Jalala ungenipata nikila uchafu
Msituni ungenikuta nikila majani
Jalani ungenipata nikiwa mchafu
Asante Yesu kwa neema Yako
Mmmmhhh Ni kwa Neema neema neeema
Asante kwa neema ,Neema,Neema,Neeema,
Mmmmhhh Naishi kwa Neeema ,Kwa Neema,Uhai kwa neema,Neeema ,Yako…
No comments yet