Kaka Arudi Lyrics

Country Wizzy-Kaka Arudi

Wanangu mtaani kutwa
Wanashindania pamba
Nani anavaa kijanjaaaaa
Wakijitupia chimbo Kariakoo
Utawaskia ooh za kiwanja

Ukiyacheki hata material
Utayaona mmh! Yakishamba
Alafu bado wanatambaaaa
Kumbe bado wanatambaaa

Msiombe kaka Arudi (Iyeeee iyeeee)
Msiombee kaka arudi
Msiombe kaka Arudi (Iyeee iyeee)
Msiombe kaka Arudi

Nyie ngojeni kaka arudi
Ndo mtashika adabu (shika adabu)
Nyie ngojeni kaka arudi
Ndo mtapata tabu (pata tabu)
Nyie ngojeni kaka arudi
Alafu tukutane club (tukutane club)
Nyie ngojeni kaka Arudi Arudii

Mana nimeagiza vitu vya kutosha
Vitu kama saa cheni sio vya kukosaa (Wooouuu)
Mtoto mtaani hatonitosa mana sio Pamba tu

Pamba kali amjui nyiii
Pradda,gucci au Lui.V
Mnavijua leo its not new to me
Everything is Not New To Me
(Like Wooouu yeeeh)

Msiombe kaka arudi
Msiombe kaka arudi
Msiombe kaka arudi
Msiombeeeee

Msiombe kaka Arudi (Iyeeee iyeeee)
Msiombee kaka arudi
Msiombe kaka Arudi (Iyeee iyeee)
Msiombe kaka Arudi

Mkiona nimepoa ujue kaka katia maguu guu guu
Si mnaona pamba izi ndo pamba za majuu juu juu
Cheki chini bonge la guu guuu
Sneaker flani white tupu
Sio zile zenu week moja mkivaaga ni uchafu mtupu
And the Good news  I got new Iphone
Nina mzuka ooii Saigon
Si mnaskia hata my Tone
I feel like kama niko Ma mtoni

Pamba kali amjui nyiii
Pradda,gucci au Lui.V
Mnavijua leo its not new to me
Everything is Not New To Me (Like Wooouu yeeeh)
Msiombe kaka arudi
Msiombe kaka arudi
Msiombe kaka arudi
Msiombeeeee

Msiombe kaka Arudi (Iyeeee iyeeee)
Msiombee kaka arudi
Msiombe kaka Arudi (Iyeee iyeee)
Msiombe kaka Arudi


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists