K2ga – Ni Wewe Lyrics

Tangu nilipokupata sijawahi kujuta
Na mapenzi unayonipa sitaki kukuacha
Ujawahi nikosea na nafsi unaikonga
Na kwako nanata sitaki bambuka
Unanipa raha ni wewe
Unanipa raha ni wewe we
Unanijali hujawahi nikera
Unanipenda mi napagawa
Unayenipa raha ni wewe
Unayenipa raha ni wewe we
Unanipa raha, unanipa raha
Unanipa raha

Ni wewe wewe niliyekungojea
Ni wewe wewe niliyekusubiria
Ni wewe wewe Mola amenipatia
Ni wewe wewe raha unanipatia

2Ga nitapuliza tarumbeta, Ili upate kujua
Kwamba nimepata yule niliyengojea
Na kwanza hana pupa ndo kwanza ananitake care
Ananibembeleza jamani raha ananipatia
Kama zawadi ni mtoto yalah
Ndivyo nilivyosema haya
Kwake nimezama
Kichwani amenitawala
Unanipa raha ni wewe
Unanipa raha ni wewe we
Unanijali hujawahi nikera
Unanipenda mi napagawa
Unayenipa raha ni wewe
Unayenipa raha ni wewe we
Unanipa raha, unanipa raha
Unanipa raha

Ni wewe wewe niliyekungojea
Ni wewe wewe niliyekusubiria
Ni wewe wewe Mola amenipatia
Ni wewe wewe raha unanipatia

Kama zawadi ni mtoto yalah
Ndivyo nilivyosema haya
Kwake nimezama
Kichwani amenitawala


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists