Jedan Jathabah Lyrics

Karira bara wampa ee
Najua wengi wanakutaka ee
Tena wanahangaika
Vijino ng’atu ng’atu
Leo watakoma eee

Na buri lako unapokata eee
Roho yangu iko ginka ee
Na midundo ya spika boom boom
Leo watakoma eee

Tena ondoa wasi
Mimi ndo wako wewe
Fanya unachotaka beiby
Aaah hallo hallo hallo

Basi leo bomba eee
Mizuka ishanipanda ee
Natamani nah nah nah
Beiby aaah
—–
—–

I be the one I choose
You mean the world to me
I don’t need to see the stars
—-

Ndo wewe naye kutaka–
Uzuri wako umenivuta
Jedan Jathabah

Mimi nakwambia
Sijutiii kuchagua
Ladhi langu pendo
Nilokutunukia

Aah mama ladhi langu pendo
Nilokutunukia mama
Ndo linalonisumbua
Mmmh afhkar, ya habibi

Karira bara wampa ee
Najua wengi wanakutaka ee
Tena wanahangaika
Vijino ng’atu ng’atu
Leo watakoma eee

Funga pendo nganganga
Utaona wanaumia wasopenda
Jedan Jathabah


Ndo wewe naye kutaka–
Uzuri wako umenivuta
Jedan Jathabah


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists