K2ga – Danga Lyrics

Kudanga umedanga sana umepata jina
Huna lolote ulofanya ushuka dada da
Haujapanga make-up kutwa nywele za kichina
Huna hata kwa mashosti zako we popo huna
Soko huna wamekuchoka dada
Hata mchati hupati umegoda dada
Hata madanga ukipata hawarudi tena
Hata ila mchezo umekosa kijumbe kakufuta jina

Aii danga danga, aii danga
Aii danga upate, aii danga
Danga danga, aii danga
Aii danga ukose, aii danga
Aii danga danga, aii danga
Aii danga upate, aii danga
Danga danga, aii danga
Eh danga ukose, aii danga

Na wamekuweka kwenye mizani
Wanasema wepesi kama nini
Vijana wa mjini kwa raha zao
Wanajivulia, wanakutumia
Wanajikopea kwa raha zao
Soko huna wamekuchoka dada
Hata mchati hupati umegoda dada
Hata madanga ukipata hawarudi tena
Hata ila mchezo umekosa kijumbe kakufuta jina

Aii danga danga, aii danga
Aii danga upate, aii danga
Danga danga, aii danga
Aii danga ukose, aii danga
Aii danga danga, aii danga
Aii danga upate, aii danga
Danga danga, aii danga
Eh danga ukose, aii danga
Moro, Kigoma (Wanakujua)
Zenji, Dodoma (Wanakujua)
Dar es Salaam (Wanakujua)
Uturuki, China (Wanakujua)
Soko huna wamekuchoka dada
Aii danga danga, aii danga
Aii danga upate, aii danga
Danga danga, aii danga
Aii danga ukose, aii danga

Aii danga danga, aii danga
Aii danga upate, aii danga
Danga danga, aii danga
Eh danga ukose, aii danga


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists