Jerusalema Kikuyu Version Lyrics
Ala C-Jerusalema Kikuyu Version
Fungua hata ka ni dirisha tukunywe
Oka Hii maisha ni ka kuni inataka
Ati banger hii nayo itawakang’a ,
Stagger tunastagger tukimanga,
Funga hii ,kileso na dimanga
Shikonde utabebwa na upepo,
Ati pombe tunakunywa jo mapepo
Ah tubonge tunashindaga kwa temple
Leo wasee ni kulewa kuchuchumaa
Kata kemba ni uanze gukuruma
Ka husimami uitisha mutirima
Ah! Uitishe mutirima
Kulewa kuchuchuma
Ni kulewa kuchuchuma
Kulewa kuchuchuma
Ni kulewa kuchuchuma
Leta mi napenda gukuruma
Ka ni chrome nakeshea tu irima
Zikishika man sinanga madrama
Silver Boy mi napenda chuchuma
Chuchuma
Chuchuma
You and you
Unapenda kukata waba
Kulewa aisee kukata waba
Leo wasee ni kulewa kuchuchumaa
Ah! Kulewa kuchuchumaa
Kata kemba ni uanze gukuruma
Ah! Aii uanze gukuruma
Ka husimami uitisha mutirima
Ah! Uitishe mutirima
Kulewa kuchuchuma
Ni kulewa kuchuchuma
Kulewa kuchuchuma
Ni kulewa kuchuchuma
Zangu ni makolo si maslim
Mi napenda big big si maslim
Haga haga big big si kaslim
Kana rieng lasting ni mwalim
Tukifika baze baze wanatii
Wanavua bra wanashow matii
Kwani we buda hujatii
Vua short tuwashow mnatii
Inua chapanisha kitu bonda
Mi huchapanisha hadi inakonda
Na mastingo za kwigonya anaconda
Tricky tricky heavy heavy tukirounda
Tricky tricky heavy heavy tukirounda
Leo wasee ni kulewa kuchuchumaa,
Ah! Kulewa kuchuchumaa,
Kata kemba ni uanze gukuruma,
Ah! Aii uanze gukuruma,
Ka husimami uitisha mutirima,
Ah! Uitishe mutirima,
Kulewa kuchuchuma ,
Ni kulewa kuchuchuma ,
Kulewa kuchuchuma,
Ni kulewa kuchuchuma ,
No comments yet