Ahadi Lyrics
Janet Otieno x Pammy Rams -Ahadi
Ahadi yangu Upendo ,
Kukupenda sitakoma
Ahadi yangu Upendo
Kukupenda sitakoma
Nikupende mpaka mwisho milele
Nikupende mpaka mwisho milele
Nikupende mpaka mwisho milele
Nikupende mpaka mwisho milele
Wewe ndio Bwana wangu
Msaada wa karibu Ni wewe
Rafiki wa thati Ni wewe
Wewe ni Bwana wangu
Mfafanuzi wa Upendo Ni wewe
Na udhamini Upendo Wetu
Ahadi yako Ni Upendo kukupenda
Sitakoma
Ahadi yangu Upendo kukupenda sitakoma
Nikupende mpaka mwisho milele
Nikupende mpaka mwisho milele na milele
Nikupende mpaka mwisho milele
Nikupende mpaka mwisho milele
Wewe ndiwe jibu la kweli
Mshauri wa thamani Ni wewe
Ningojapo jibu nikupende
Nichanganyikiwe nikuskize
Usiishe urafiki Wetu
Usimwagwe Upendo Wetu
Ahadi yetu Upendo
Kukupenda sitakoma
Ahadi yangu Upendo
Kukupenda sitakoma
Eeeeh Baba nikupende mpaka mwisho milele
Nikupende milele
Nakupenda Yesu
Kukupenda sitakoma
Ahadi yangu Upendo
Kukupenda sitakoma
Nikupende mpaka mwisho milele
Nikupende mpaka mwisho milele
Nikupende mpaka mwisho milele
Nikupende mpaka mwisho milele
Nikupende mpaka mwisho milele
No comments yet