Nitangoja Lyrics

Janet Otieno-Nitangoja

Aaaaaah yeah
Bure bure bure
Mmmmhh mama aaaah yeah
Hairudi hairudi bure
Neno asemalo halitarudi
Haiwezi haiwezi delay
Kusudi la Bwana halitadelay

Nimekuona shambani ata wakati wa kiangazi
Umenibariki hadharani
Hukuuliza binadamu ruhusa
Na umefanya njia pasipo na njia
Penye hasara faida
Ukanimulikia Gizani

Mambo bado
Badoo bado Kuna mahali naangalia
Nitangoja ngoja ngoja
Hadi utende unipandishe
Unipandishe nitangoja ngoja
Nitangoja ngoja ngoja
Hadi utende unipandishe
Unipandishe

Inuka nafsi yangu msifu Bwana
Tabasamu kwa Giza
Asubuhi majibu
Zaidi wanavyodhani
Na je hujui aliyeumba ulimwengu aliyekuumba yupo juu mbinguni
Usipo hisi vizuri pia yeye haisi vizuri

Anaelewa wakati wa jua
Ataleta Mvua ,atakuheshimisha
Kuna mipango umeeeka chini
Yesu anaona yeye anaona hatazitatua
Mambo bado bado Bado Bado Kuna mahali naangalia

Nitangoja ngoja ngoja
Nitangoja ngoja ngoja
Hadi utende
Hadi utende unipandishe unipandishe nitangoja ngoja ngoja
Nitangoja ngoja ngoja Hadi utende unipandishe


Related Lyrics

Added by

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists