Subira Lyrics
Oh nah nah
Subira imeniponza, natokota
Kwote kupambana tatu bila
Langu penzi tamu tamu, wameliokota
Eh moyo ukauwacha na malenge lenge
Umeota vidonda eh
Nimefuba hali ni shiwenge
Wivu nakonda
Anipita mbali kama kigege
Aniacha hoi mi mlege lege
Nadharaulika ananiona bwege
Oh inauma
Kama asali nishapokonywa masege
Kaniachiaga homa ya dege dege
Leo mlezi bichi mi wa mla ndege
Hakumbuki nyuma
Tena sikudhubutu
Kumfanya ajutie kunipenda
Niliamini wa milele daima
Daima
Kwake sikuaga zumbukuku
Japo yangu ya kitochi, alimulikiaye
Anavyoiweka kando inaniuma
Inaniuma
Eh yangu akili,
Ameichanganya changaya, Ameidanganya
Hakuna tena siri
Ameichanganya, moyo ameugawanya
Ye kumbe alipita kunusa
Ameichanganya
Penzi amelipangusa
Lipangusa aah, aah nalia
[Skiibii]
Baby no be motor
But you drive me crazy gan ni
Now I can’t get you off my head
Can’t get you off my head
Umeniachia kidonda kidonda
Mi mwenzako ninakonda
Kidonda kidonda
Skiibii Mayana nakonda
Baby you know say me love you gan ni o
Enjoy my money
I go stand by your side gan ni
I wish you treat me right
I wish you do me right
I wish you no dey lie
My heart is beating I love you die
Yangu akili,
Ameichanganya changaya, Ameidanganya
Hakuna tena siri
Ameichanganya, moyo ameugawanya
Ye kumbe alipita kunusa
Ameichanganya
Penzi amelipangusa
Lipangusa aah, aah nalia
No comments yet