Ibraah Ft Harmonize – Addiction Lyrics

Poombe poombe, yao yao
Poombe poombe, poombe poombe
Jeshi, poombe poombe
Eeh vanemba newala

Kwanza pombe ni dawa
Ukiwa na msongo wa mawazo inakuweka sawa (ah wewe)
Pombe sio kahawa
Kama hauziwezi usizidishe utapagawa (ah wewe)
Eh mwezenu nikinywa pombe
Zinashuka kwa chini
Na kichwa kinakuwaga cha moto
Na sio za kupimaa pombe iwe dompo
Iwe barimi zinanishikaga ndo changamoto
Na enjoy japo nikinywa nakunja sura
Ni moja ya utamu wa pombe (Utamu huoo)
Eeh sitoboi sasa usiombe niikamate chura
Nazima taa hiki si nikikombe (Utamu huoo)

Yaw Yaw
Eh nikizinywa nashushia na ndumu (Pombe)
Basi iyo glass naiona kama dumu (Pombe)
Nikizima niacheni humu humu (Pombe)
Na usishangae nikila muhudumu (Pombe)
Sipendagi kuwa sober mixture za madeni ya vikoba
Bora ninywe hata viroba uzeeni nitatubu tobaa
Kulewa ni kule kule
Japo chupa na ladha za pombe tofauti (Tofaa)
Na mnaokunywa Hennesy
Sisi wa savanna msitupandishie sauti, za woofer
Yeboo mimi napendaga kulewa lewa
Pembeni kuwe mtoto totoo
Maana nikishalewa lewa
Kinachofata nikupeleka motoo

Pombe pombe pombe pombe
Pombe pombe pombe pombe

Yaw Yaw
Jeshi
Eh vanemba newala
(Mocco Genius)


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists