Ukimwona Lyrics
Hart the Band-Ukimwona
Kusema kweli bado nakuhata
And on the daily, bado nakufuata
Kosa sio hoja, zaidi ya kukupenda
Vipi nikatupa ndoto tulizoziota
Uliniwasha nare,
Enzi zetu za kupare
Kwa mvinyo na makali,
Magizani hadi ngware,
Nikijifanya dakitare,
Wa mabinti wale,
Wenye shepu za hatari
Nikapotelea ndani
Ila mwambie nampenda,
Roho yamtamani
Bado, nampenda
Ukimwona,
Tabasamu la kishua,
Roho sawa, na maua
I can’t help, miss you every morning
Vile unapendeza,
Kama ningewezajua,
Yepi ya kutarajia,
Nisingejipata mashakani,
Kwa niliyoyatenda,
Ninayempenda ni wewe,
Hakuna mwingine wa Kubadili penzi,
Ningependa tuelewane,
Kiburi kisinikosanishe nawe,
Uliniwasha bare,
Na sikushika nare,
Ukanisema kwa jirani,
Kwamba ,mimi kisirani
Aibu za hadharani,
Vile penzi hatari,
Njoo unipe amani
Kama hapo zamani
Mwambie nampenda,
Roho yamtamani,
Bado nampenda
Ukimwona,
Mwambie nampenda,
Roho yamtamani,
Bado nampenda
Ukimwona
Mwambie nampenda,
Roho yamtamani,
Bado nampenda
Ukimwona,
Mwambie nampenda,
Roho yamtamani,
Bado nampenda,
Ukimwona
Mwambie nampenda
Roho yamtamani
No comments yet