Hart the Band

Songea Tule

Songea Tule Lyrics

Hart The Band-Songea Tule

Niko kwa baze kwa maskani!
Nafurahi tu sana’
Mama otek do chapat
Niwai crate’ ya Fanta
Watoi wafurahi ni kama; mi ni Santa

Niko blessed to sana si! unajua mi producer
Pewa can za Tusker!
Rice na nyama pewa kenya unataka’
Turuke tudance ;na tuongeze tu laughter
Tucheke tu sana ju ni krisi!
Ino kwa mfuko pilipili

Sauti za watoto wakicheza zanifurahisha roho!
Naona mama amewasha moto anajiandaa kupika chapo!
Maji tayari pasha joto leo sikukuu mlo
Lazima suti tumepima ee!

Kuna tukuku na !tumbuzi tumechinja
Na tunazo mboga na matunda asali mayai na maziwa!
Furaha hakuna kupimiwa, shibe chunga kuzidiwa!
Krisimasi imefika tushereheke!

Songea tule!
Songea tule!

Kuna wengine sikukuu ;ni ho5 na wengine Gucci!
Wengine chapo minji!matoke nyama choma
Kachumbari tamu ongeza juu uji, haribu waistline kabisa!
Wengine mziki tam tam! na marafiki karibu
Wengine mogoka mashavu imejaa taxin, si unajua lazima!

Wengine chapana! na chupa za bia haribu madollar kabisa!
Wengine hata hakuna wanatafuta tafuta kwa pipa!

Wengine hustle inaendelea! kama kawaida
Wengine kanisani! shukuru Mola kwa maisha
Wengine lazima sikukuu! familia karibu, rip kuku zote na mambuzi pia!

Next year karibisha! mwaka mpya na si unajua resolutions’
Lazima ni mpya, resolutions hakuna’
Ulevi ati ni lazima nitaacha kunywa
Mlezi eti ni lazima usingizi kupimwa!
Wengine ati mpango wa kando ni lazima aweke kando!
Karibu, wivu ya watoto!

Next year mimi kukula’ ni mapizza tu hakuna githeri kokoto’
Next year mimi sivai tena kinyasa kaptula
Next year mimi masuti na ma official mandula”
Next year mimi hapana”zubaa kwa baze tena lazima nitahamia Fedha”

Yaani sikukuu ni sikukuu kila mtu” sherehekea kwa raha yake!
Don’t drink and drive ninja kaa safe my ninja
Next year bado tunakuhitaji ninja!
Na ukispend usisahau January Landlord hulipwa pia!
Na school fees ninja hio hata sitazungumzia


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists