Ushamba Lyrics
Harmonize-Ushamba
Kondeh boy,,,
Huo ni ushambaa ,
Huo ni ushamba,
Huo ni ushamba,
Huo ni ushamba,
Pesa ya kulipa, gesi unayo
Nyumbani familia inapiga miyayo
yanafurahisha ufanya
huo ni ushamba,
Inaboa kudadeki, dereva wa uber
Hataki kuova teki,
Eti kisa, pesa haiongezeki
huo ni ushamba
Yupo kitandani ,kajilegeza
Mi nimeshapaka vya kuteleza
Ati baby leo, simba wanacheza
Huo ni ushamba
Husband material,
Kutwa unalike picha za makalio vya wenzako ,
Usijipe matamanio
huo ni ushamba
Ashura wa mbagala,
huna pa kula pa kulala
Komenti ndefu ,picha za kajala
Huo tunaita , huo ni ushamba
Huo ni ushamba,
Huo ni ushamba,
Huo ni ushamba,
Huo ni ushamba,
malejedi si wamerudisha vita
Wanahofia eti jeshi anawapita
Bila sababu wananikunjia ndita
huo ni ushamba
Limechoka ,acha nilikalagaze
Halina ,meno ilo simba zeee
Likila demu lazima litangaze
Huo tunaita , huo ni ushamba
Hivi dunia ,ndo ipo kikomo
Maana hadi waganga wanapiga promo hadi insta eeh
Wana page, za kujipigia domo
Huo ni ushamba
Amepanga chumba ,huko vingu nguti
Yupo mbezi kwa, dame pesa hatafuti
vipi akikupiga kibuti
huo ni ushamba
Aaah konda wa daladala
Umenipitisha, bahati mbaya
Nililala unataka, nilipe tena ni busara
huo ni ushamba
Huo ni ushambaa
Huo ni ushambaa
Huo ni ushambaa
Huo ni ushambaa
Kaja na vumbi ,uso umefubaa
Aadai kapaka, poda eeh
Kaniomba ,nauli ya Uber
huo ,ni ushamba
Yule namuona ,kapanda boda
Vitu vingine, haviji na ubongo eeh
Punguzeni ,sifa wana sio mchongo
demu ,humjui unampakia mkongoo
,huoni ushambaa
Yeye ndo kalewa kuliko wote
Anaimba nakucheza ngoma zote
Wakati wakulipa bili sina chochote
huo ni ushambaa
Meno yote nje anachekelea
Ahsante bebi nimepokea hasa
Mbona haujatuma na yakutoleaa
huo ni ushamba
No comments yet