Harmonize – Amelowa Lyrics
Iyo miinamo
Huko myuma yaliyomo yamo
Binti wa makamo
Come closer and give me some oh oh
Kama tunda lilimshinda adamu
Akashindwa kuvumilia
Sasa kwanini tuitane binamu
Me nina nyongo itatumbukia
Ulimi ukipitiliza unanimaliza
Mwenzako bado najiuliza ivi ni kweli ama tunaigiza
Moyo umezama kwake bila yeye siwezi toboa
Me ndio fundi war aha zake natwanga na kukoboa
Alinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gear
Zikanipanda hisia
Nanilipo chuchumia maji yakatoka
Amelowa amelowa amelowa na mvua
Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
Motto Amelowa amelowa amelowa na mvua
Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
Uuh aah
Ameniweka kwenye chupa ndio maana amatamba
Uuh aah
Wenye papara pupa nawaona washamba
Nyope nkamwanao anyakwile chakunoa
Chachikutila mwanao liduva lipambahuka kulyamba
Liduva lipambahuka kulyamba
Moyo umezama kwake bila yeye siwezi toboa
Me ndio fundi war aha zake natwanga na kukoboa
Alinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gear
Zikanipanda hisia nanilipo chuchumia maji yakatoka
Amelowa amelowa amelowa na mvua
Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
Motto Amelowa amelowa amelowa na mvua
Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
Ameniweka kwenye chupa ndio maana amatamba
Hao vijana
Wenye papara pupa nawaona washamba
Ate ntwangu unandeke
Alinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gear
Zikanipanda hisia nanilipo chuchumia maji yakatoka
Amelowa
No comments yet