Cornel Ceezy

Haitaki Hasira

Haitaki Hasira Lyrics

Cornel Ceezy-Haitaki Haitaki

Haitaki hasira,
Cheza tu chini ,
Bila hata filter
Sijaenda jikoni na bado buda nimeiva,
Nataka picha mnapiga pause,
Mnajua nimefika,
Vile mnabisha
Iza jo buda boss kwani nimewatisha

Haitaki hasira,
Cheza tu chini buda utaona miujiza
Bila hata filter,
Sijaenda jikoni na bado buda nimeiva

Nataka picha mnapiga pause
Mnajua nimefika,
Vile mnabisha,
Iza jo buda boss kwani nimewatisha,

Ah hii team ni ya mafathe
Hakuna mamas enda pale
Ligi iliisha jana na huskii buda
Ati bado si ndo, machampe

Nakata keki daily, unaeza dhani buda kila siku ni birthday
Nachanganya chrome na energy
Nikizima watadai mi ni light weight
Afande wapi kipande, hatutaki mambleina hii upande
Hatudai security so buda itabidi urudi kwa kambi
Napenda mavazi so vile buda nitawapigia kinyasa na roshe

Sijapiga suti lakini maninja wanajua nani ni boss,
Walidai feature, sai ngoma zangu zimejaa tu na majokes,
Ingia mtaa usiku utapata maninja wamedoz on toes,
Nawadishi na kijiko leo lakini kesho kisu na fork,

Haitaki hasira,
Cheza tu chini buda utaona miujiza
Bila hata filter,
Sijaenda, jikoni na bado buda nimeiva
Nataka picha mnapiga pause
Mnajua nimefika
Vile mnabisha
Iza jo buda boss kwani nimewatisha

Haitaki hasira,
Cheza tu chini buda utaona miujiza
Bila hata filter
Sijaenda jikoni na bado buda nimeiva
Nataka picha mnapiga pause
Mnajua nimefika,
Vile mnabisha,
Iza jo buda boss kwani nimewatisha

Napiganga pizza na uji, hebu kwanza pitisha hio chumvi
Ati we ni pussy nigga, basi nigga atleast nyoa hizo fudhi
Na kama ni giza nitawachoresha my nigga na mi si msudi,
Amejipika jina ni Becky basi nipee hio cookie,

Manzi yako ananiita bestie, anadai we bestie ni msexy
Kwa keja na mi simueki, naride bila hata breki
Atamwaga hadi ableki, ona sasa umerarua bedsheet,
Mi ndo the shit na ,
nimeikaza wacha kwanza nikadenki

Sijapiga suti lakini
maninja wanajua nani ni boss
Walidai feature sai ngoma
zangu zimejaa tu na majokes


Related Lyrics

Added by

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists