Tere Lyrics

Gwash-Tere

Tere tere tere tere
Tere tere Teresia(×2)

Skia stori ya huyu dem
Nilimpata K1 nikienda kutoa lock
Alikuwa fine figa
Anakaa ka chupa

Kuchochwa na maarif
Nikasema nitupe lugha
Kujibonga kama man
Nika offer kubuy drink

Bila ye kukataa, akajibu!
Kama bazu kujichocha nikabuy hiyo drink!
Dogo dogo mistari nikaanza kuzitupa
Akiflirt tu na mimi oh my !
Sikujua alikuwa na mtu

Mavidevu na viding zilikam!
Lakini kitu jamo;
Huo dem alikuwa tu deng’a
Na hio nayo nitaisaka

Tere tere tere tere!
Tere tere Teresia;
Nikimuona! naskia kuteleza
Nikimuona naskia kuteleza

Tere tere tere tere!
Tere tere Teresia
Nikimuona naskia kuteleza!
Nikimuona naskia kuteleza

Nguna ameninoki kama kiguu na njia
Na vile amenidedi utadhani mi ni messiah
Na kuna venye amejibeba kuliko dunia
Nathora kama chombo nikizama ka gunia

Kumfanya miujiza ka za Jeremiah!
Kumpanda chini kumride ka ngamia!
Kwanza akinidigi naskia kumpandisia!
Kushoto kulia fisi wakiangalia

Tere Tere ye hupendaga nderere
Nyuma mbele nigonye ka kadere
Mpaka mate iteleze ning’oe hizo pembe
Nichome ka maini niteremshe na sembe

Tere tere tere tere
Tere tere Teresia
Nikimuona naskia kuteleza
Nikimuona naskia kuteleza

Tere tere tere tere
Tere tere Teresia
Nikimuona naskia kuteleza
Nikimuona naskia kuteleza

Kuna venye hizo macho zako zimenibamba
Ndio maana niko hapa baby nataka namba
Twende tu kejani kwanza tukapike sapa
Nikule nikikukula hadi kwa kitanda

Mi hukapenda ju ya hizi mami nikopandisia
Na design ni ka keki manure nanyunyuzia
Cheki zzz kai zimeruka kwa pazia
Ju enyewe dem ni keki kumwaga nimeingizia

Ka hunibamba nikianza kukashika majegi
Na enyewe kako loyal nakaitaga my lady
Kutoka monday to Friday tusere hadi weekendi
Nakaitaga assasin ju enyewe nimekadedi

Tere tere tere tere
Tere tere Teresia
Nikimuona naskia kuteleza
Nikimuona naskia kuteleza

Tere tere tere tere
Tere tere Teresia
Nikimuona naskia kuteleza
Nikimuona naskia kuteleza


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists