Makofi Lyrics
Gwaash – MAKOFI Lyrics feat. K4kanali & MastarVk
KK for wakanali fat Bwoy gwash
Hainanga Kelele leo mi Ni stero nakusongesha kidere
Spidi za one fifty tukipunguza gede
Kaende kaende turaruraruae
Party tulifika kaa tulishakata madrinks
Nilisho kutoka hapa joh tunamix
Saizo shory anarusharusha sianda kwa sink
Geuka Mami tupige makofi
Geuka Mami tupige makofi
Geuka Mami tupige makofi
Geuka Mami tupige makofi
Tupige makofi
Tupige makofi
Tupige makofi
Iyo sianda inaclap kwanza baby ukitwerk
Unimurder baby ninabaki Niko dry
Kakikula iyo swalo ninajua Ni ass kwanza iyo dera
Unafaa booty pant unafaa
Pale coast watajua iyo haga Ni yangu ukigeuka
But tutadu nini
Tipytoe tipytoe club Covid
Sio moto Ni fimbo moto
Wakiniona hivi wanajua mi Ni fimbo moto
Geuka Mami tupige makofi
Geuka Mami tupige makofi
Geuka Mami tupige makofi
Geuka Mami tupige makofi
Tupige makofi
Tupige makofi
Tupige makofi
Tupige makofi
Afande geuka Mami nikupee chuma ya doshi
Mtoto amejaza ako na biggy tena Ni comfy
Kurombosa na kuteta juu nono Nani bouncy
Manze baby siunishike Kama sanse
Ghai ghai ghai ghai
Napenda kuririma Kama Niko high
Geuka Mami tupige makofi
GeukaMami tupige makofi
Geuka Mami tupige makofi
Geuka Mami tupige makofi
Geuka Mami tupige makofi
No comments yet