Nadeka Lyrics

Guardian Angel-Nadeka

Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana
Penda penda ,ndio maana mi na deka
Niko mikononi mwake,
Kila kitu kiko better,

Ibilisi ananyeta,
Kuna watu wakicheki unabarikiwa Sana wanateta,
Anazidi kuleta mvua ya baraka na ma better
Inazidi kunyesha,
Ibilisi ananyeta,
Kuna watu wakicheki unabarikiwa Sana wanateta,
Anazidi kuleta mvua ya baraka na ma better
Inazidi kunyesha

Asifuye mvua imemnyea
Namsifu ju amenitendea
Maajabu, maajabu,

Kuna wenye dhambi, wengine takatifu
Jua likiwaka linawawakia wote
Wengine janjajanja
Wengine waaminifu

Mvua ikinyesha inawanyeshea wote,
Kuna wenye dhambi wengine takatifu
Jua likiwaka linawawakia wote
Wengine janjajanja,,
Wengine waaminifu,
Mvua ikinyesha inawanyeshea wote

Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana,
Penda penda ndio maana mi na deka,
Niko mikononi mwake,
Kila kitu Kiko better
Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana,
Penda penda ndio maana mi na deka
Niko mikononi mwake,
Kila kitu Kiko better

Mungu wangu anapenda penda penda,
Na sa ndio maana minadeka deka deka
Mungu wangu anapenda deka,
Penda deka,
Anani penda nadeka,
Mungu wangu anapenda penda penda,
Na sa ndio maana minadeka deka deka
Mungu wangu anapenda deka,
Penda deka
Anani penda nadeka

Nikimwita anacome through,
Ndo maana namsifu
Maombi anajibu,
Yeiiy

Kuna wenye dhambi, wengine takatifu,
Jua likiwaka linawawakia wote
Wengine janjajanja
Wengine waaminifu
Mvua ikinyesha inawanyeshea wote

Kuna wenye dhambi, wengine takatifu
Jua likiwaka linawawakia wote
Wengine janjajanja
Wengine waaminifu
Mvua ikinyesha inawanyeshea wote

Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana,
Penda penda ndio maana mi na deka
Niko mikononi mwake
Kila kitu Kiko better,
Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana,
Penda penda ndio maana mi na deka
Niko mikononi mwake
Kila kitu Kiko better,

Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana,
Penda penda ,


Related Lyrics

Added by

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists