Umeshinda Yesu Lyrics
Nikitembea naona
Baraka naona
Oooh kupona, naona
Umeshinda Yesu
Nikitembea naona
Ooh baraka naona
Eeh kupona, naona
Eeh umeshinda Yesu
Umefanya mengi yaliyo nje ya fahamu zetu
Yakushindwa mtu ukautwaa utukufu mkuu
Si wa mashaka, si wasi wasi
Ukishatenda inabaki kuwa ushuhuda mkuu
Yale umefanya yamebadilisha ma maisha yetu
Toka kuchekwa umeweka kicheko
Waganga walitutesa hawakuweza kutuponya
Daktari alishasema yakwamba imeshindikana
Ila kwa damu ya dhamani
Ya Yesu umeturejesha
Na nimeona, ooh nimeona umeshinda
Nikitembea naona
Baraka naona
Oooh kupona, naona
Umeshinda Yesu
Nikitembea naona
Ooh baraka naona
Eeh kupona, naona
Eeh umeshinda Yesu
Nikitembea naona ooh
Baraka naona
Oooh kupona, naona
Umeshinda Yesu
Nikitembea naona
Ooh baraka naona
Eeh kupona, naona
Eeh umeshinda Yesu
Yesu Yesu Yesu jina lako ni tamu
Hata kwa magumu bado jina ni tamu
Linaondoa magonjwa (Yesu)
Kiboko ya uchawi (Yesu)
Fufua na wafu (Yesu)
Tetemesha (Yesu)
Linapasua miamba (Yesu)
Vunja ngome kuzimu (Yesu)
Tunavuja siri (Yesu)
Wewe ni Mungu
Mwanaume, baharini kimya
Mwanaume, maana yeye ni Mfalme
Mwanaume, dunia nzima yatii
Mwanaume, hakuna wa waku- Yesu
Mwanaume, anatawala
Mwanaume, Jemedari wa vita
Mwanaume, Yeye ndiye ndiye
Mwanaume, ni simba wa Yuda
Aah eeh, aah eeh Yesu wee
Aah eeh, aah eeh Yesu wee
Aah eeh, aah eeh Yesu wee
Aah eeh, aah eeh Yesu wee
Naona, kupona naona
Naona, naona
Umeshinda Yesu
Kwa macho nimeona watu wakitendewa miujiza
Kwa macho nimeona watu wakifunguliwa vifungo
Kwa macho nimeona watu wakitendewa miujiza
Kwa macho nimeona watu wakifunguliwa vifungo
Waganga walitutesa hawakuweza kutuponya
Daktari alishasema yakwamba imeshindikana
Oooh you’re number one
Eeh you’re number one
Oooh you’re number one
Sina mwingine
Kweli nimeona
Wala sihitaji kusimuliwa
Matendo yako makuu
Sihitaji kuelezewa, maana ninaona
Kweli nimeona
Wala sihitaji kusimuliwa
Matendo yako makuu
Sihitaji kuelezewa, maana ninaona
I love you, aah kupona eeh kupona
Na umeshinda Yesu
No comments yet