Good morning Africa Lyrics
Good morning Africa-Octopizzo
Aye good morning Africa
Africa Papi Don yeah,
Cheki mavazi bro yeah,
Hapa ni kazi yo yeah,
Kula mabakisho yeah,
Versace ndo suti though,
Na ni ya kwenda kwa shamba bro
Mimea kwa parking lot,
Wananiitaga shamba boy,
Mihogo na cucumber,
Ubongo ya kisasa,
MPESA kwa wrong number,
Jungle Fever wanashiver,
Dai goro ama silver,
Shasha mani tunaiva,
Penda maji cheki liver
Msupa wangu ye ni diva,
Sacramento hii ni misa,
Ambia father, mi ndio jesus
Daughter wangu ,Monalisa
Good morning Africana
Good morning African
Good morning Africana
Tuamke Afrika
Ayee, good morning Africa
Ayee, good morning Africa
Kuku kienyeji toka Kisumu
Na ni figa ya chupa
Msupa shangaa nikimwaga ndani
Na ni mbegu nakupa
Lima shamba na usikate tamaa
Na upunguzage pupa
Nipata nikose nikose nisote yeah
Nisote nikope nikope nioshe yeah
Chura na voices profit malosses yeah
Wakanda ndani hii ni Africa,
Sheep morning Africa,
Never boring Africa,
Ever balling in Africa
Nami sitoki hii Africa,
Ekewa mchele bana kwa giza,
Rada chafu mi nasafisha,
Dawa ya mende hapa Afrika
Good morning Africana,
Good morning Africana,
Good morning Africana,
Tuamke Afrika,
Good morning Africana,
Good morning Africa,
Ayee, good morning Africa
Kakamega bana Africa
Kisumu Dala Africa
Likoni Ferry hio Africa
Makueni bana Africa
Namba nane bana Africa
Pale mjengo bana Africa
Siaka baba ba Africa
Nyeri Dala pale Africa
No comments yet