WAIST/Uno Lyrics

WAIST/Uno Lyrics by Gnako

Switch
Kwani unatoka mbali mama unanimixi
Akili Yangu haikai sawa unanimixi
Nikae vipi karibu Naye
Masaundi gani apagawe
Unanitia majaribu
Sitavunja kibubu

Mpaka mashosti Wana wivu
Wewe Ile uno mama waist waist
Unanitia majaribu waist waist
Nitavunja kibubu waist waist
Mpaka mashosti Wana Wivu wewe
Hilo Uno mama waist waist

Whine for me baby come my way
Ila vile unavyolienda unanichanganya wewe
Mtoto Mtoto Mtoto noksi
Ameshakula vyakula vya majiboosti
Nichanganye mama wewe
Nishakupa Nafasi
Unaniweka kwa majaribu mpaka mashosti Wana Wivu

Waist waist
Hilo uno mama
Waist waist
Nanitia majaribu
Nitavunja kibubu
Mpaka mashosti Wana Wivu
Wewe wewe
Akili haikaangi sawa unanimixi
Masaundi gani apagawe

Hawatazama jinsi wanapovunja shingo
Leo watasema wote wapo single
Usijali wakisema wote una maringo
Na maneno sio vitendo nananana
Mtoto Mtoto Mtoto noksi ameshakula vyakula vya majiboosti
Nichanganye mama we
Nivunje mama wewe
Mpaka mashosti Wana Wivu

Nitavunja kibubu
Mpaka mashosti Wana Wivu wewe

 


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists