Mawingu Lyrics

Chakula kiko tayari kwenye meza
You’re not here
Nilijaribu kukubembeleza
where did you disappear

Baby come home
Baby come home
Come home

Natamani kusikia ukibisha
But you’re not anywhere near
Nilisubiri kukukaribisha
Where have you disappeared

Baby come home
Baby come home
Come home

Baby come home
Baby come home
Come home

Machozi yananishinda
And I can’t stop the rain
You know tumetoka mbali
Now all I feel is pain

Kabla giza kuingia
Baby come home, come home
Kabla mvua kuanza baby
Baby come home, come home

Mawingu keshaungana
Subira inanikana
Mawingu keshaungana
Subira inanikana

Natamani kusikia ukibisha
But you not here
Baby come home, baby come home
Come home

Nilisubira kukukaribisha
Where did you disappear

Machozi yananishinda
And I can’t stop the rain
You know tumetoka mbali
Now all I feel is pain

Kabla giza kuingia
Baby come home, come home
Kabla mvua kuanza
Baby come home, come home

Kabla jua kutua
Baby come home


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists