Sumu Lyrics

Fid Q – SUMU Lyrics

KitaaOLOJIA album cover

Aliyenuimba alinipa mdomo
Hivyo nina haki ya kuongea
Ni bahati nimeotea
Safi kamwe siachi kuishea
Hamtaki niwe fair
Trust me
Mie huwa happy niki-care
Na ninaowatouch husema
Mshikaji
Uko smati upstairs
Usiache kuongea
Usiache we ni incharge
Huna spea
Kipaji ka ngwea
Kwa mpaji ni ka zawadi aliwagea
Flagi pepea
Alhitaji Zaidi ya maji na mmea
Ilikuaje wamuache
Hadi mshikaji ulaji
Wa drugs ukamzoea

Tunamoka ili susafiri hikisia
Au kufoka pia
Ikitoka usaiskia
Huwezi ichoka au kuitosa ikikuingia
Kinachoichosha hii nia
Ni kukosa ulichokiota kupatia
Wuachota kihisia tunasota
Je inatosha hii fidia
Shibe ya mdau hainilazi njaa
Sababu mganga
Yuko juu
Na furaha ya baadhi wadau
Ni kumuona star wao
Anawalamba miguu
Asiyenihitaji simuhitaji
Kamwe simuachi anijazie nzi
Bandidu kama tsotsi sipigi goti ka pnc
Hakuna ambaye hakosi
Labda zizi kwa dee andy
Yangu self esteen haitoki ka ripoti za TMZ
Na hainizui nisile mkate
Kwa kuhofia … kiungulia
Na uemcee hauniachi huniangalia
Kama fidelia


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists