Fena Gitu

Ngoma

Ngoma Lyrics

Fena Gitu-Ngoma

Aki Why, Aki Why
Aki Aki Why Lie Wanapenda hizi Ngoma
Aki Why, Aki Why
Aki Aki Wallai wanapenda hizi

Africa nzima wanikubali,
Uuh wanikubali,
Waseme me ni mnoma,
Nataka Bimmer nataka gari,

Nataka nyumba ya kifahari,
Nile hepi Kigoma,
Kwa kina Ndosi Nyama Choma ,
Ndio, ndio wale walinipa kisogo
Wanione kwa mbali mimi sifi roho
Samahani mimi si kidogo,

Put some respect on it, before you come at me
I work too hard to be where I be
Nikifika far, nilikuwa jam nakam
Mlinishikilia day one Me hear dem say

Who’s that Girl ah di East African gal dem killer
She’s that Girl ni Mama Yao,
Who’s that Girl issa Fena
She’s that Girl

Wanapenda hizi Ngoma
Wanapenda hizi Ngoma

Uuh Ngoma tam, Ngoma tam
Tamu sana ona vile wanadance ay
The way I leave them in a trance
Number one, me nah gi’ de man a chance ey

Ndio wajam, ndio wajam
Nataka wajam juu ya ile speedy ninakam
Wanajam, watajam
Now ring the alarm, Ring the alarm

Pass me di kush, pass me di lighter
Mash up di tune zikikunice
Pass me the booze we cruise tonight, Hey
Tunaburn tonight
Pass me di Di Lighter
Leo tuna bouger bouger tonight
Leo bouger bouger tonight

Who’s that Girl , di East African gal dem killer
She’s that Girl ,Ni Mama Yao,
Who’s that Girl Issa Fenana
She’s that Girl

Wanapenda hizi Ngoma
Wanapenda hizi Ngoma
Wanapenda hizi Ngoma
Wanapenda hizi Ngoma


Related Lyrics

Added by

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists