Kilami Lyrics

Exray-Kilami

Nikibonga tu kilami !mi nachafua
Yule mkoba ni mshamba nambafua,
Siwezi rudia kunyonga! na makongiza
Siwezi rudi ya kunyonga makongiza’

Kilami kilami!
Nina ndae mbona utembee kwa lami

Kilami kilami;
Form zangu ni mahenny si majani
Kilami, kilami!
Zikishika tunadance tu kilami

Nimemcheki toka mbali amenibebea
Dem kistero kumchorea;
Ana hips tako pandisia!
Mi nataka kumpandia,

Nataka kuzitoa ,kwenye sindiria
Nataka hii chuma kumsindilia;
Napendaga akiwa kwenye kamirina
Drip drip cheki venye nimevalia!

Huwezi cheka ka haujui kulia
Huwezi kuwa dere ka hujai kuwa abiria
Chai sio tamu ka si ya birika
Mtoto wa kanisa akija kwangu haribika

Ka wajua siri yangu chorea
Niko tembe na sijai kosea
Ka si mtaro mwaga hio mbolea
Ka si mtaro utamu we kolea

Kilami kilami!
Nina ndae mbona utembee kwa lami
Kilami, kilami;
Kula yote nikuadisie maganji

Kilami kilami;
Form zangu ni mahenny si majani
Kilami, kilami
Zikishika tunadance tu kilami

Kanungo, kanungo, kanungo
Kanungo eteko
Kanungo, kanungo, kanungo
Kanungo eteko

Sauti ya mapenzi inataka headphones
Na we inakaa una hormones
Leo flow iko hapa ni common
Na leo smell inanuka roll on

Hapa msupa hatutakagi pothole
Na leo nakupamba nina cotton
Nyama choma chemsha bongo
Na leo nitakuchomoa uharibu chongo

Do you know me? Do I know you?
Do we know we?
Get out of here men sht am saying
Get out of here dem yako hanipei

Ah unakera, ah na dem wa Kisumu si unapewa
Hii si fair niachie ikuwe pair
Truth or dare kuwa ka mrare
Hukuwagi rare ng’ango jaber

Kilami kilami
Nina ndae mbona utembee kwa lami
Kilami, kilami
Kula yote nikuadisie maganji

Kilami kilami
Form zangu ni mahenny si majani
Kilami, kilami
Zikishika tunadance tu kilami


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists