Wife Material Lyrics
Eric Omondi-Wife Material
Hello,,,
La prezident
wangu wife material
Wote wangu wife material
Wangu wife material
Wote wangu wife material
Na vishazi wangu kutoka malindi
Mtoto anakukorogea korogea mpaka unachizi
Mtoto anakukorogea korogea hataki mchezo
Shahilla wangu kutoka kitale
Wamerembeka wanajua kupika ugali
Atanipa kiss mwaa Mwaaa
Kerubo kisii atanipa kiss mwaa Mwaaa Mwaaa
Siku Moja mtafinya macho mseme balaa balaa
Rebecca Sauti yake pia nyororo
Inatawanywa pangoni inaletwa pangoni
Na karonya amenikunywa mbu mbu mbu
Anachukua anaweka Mwaaa
Na grace wote wa Kitale
Anasema ngumi Ni mbwekse
Na Shakilla aty bado Ni mdogo
Hajui izi maneno aty Ni mpole
Mwikali mkamba wangu anapenda yellow yellow
Yellow yellow Kama Mimi kijana mpole
Na maria Wa Kiambu sema yeye Ni about
Ni chague Sasa Ni chague Nani mimi
Ni chague Nani mimi Erick
Wote wangu wife material
Wote wangu wife material
No comments yet