Bwana wa Vita Lyrics
Anga wa Moto umesimama kwangu
Gongo Na fimbo yanizungukaa
Sitaogopa yaliyo mbele yangu
Maana unamo Bwana Unami
Anga wa Moto umesimama kwangu
Gongo Na fimbo yanizungukaa
Sitaogopa yaliyo mbele yangu
Maana unami Bwana Unami
Anga wa Moto umesimama kwangu
Gongo Na fimbo yanizungukaa
Sitaogopa yaliyo mbele yangu
Maana unami Bwana Unami
Unaitwa Bwana wa Vita
Mtetezi wangu
Sitakufukiza napita
Maana Mungu Wetu atutetea eeeeeh
Tena Ni kamanda ushindi Ni lazima
Unaitwa Bwana wa Vita
Mtetezi wangu
Sitakufukiza napita
Maana Mungu Wetu atutetea eeeeeh
Tena Ni kamanda ushindi Ni lazima
Ulinzi wako Kama tanda ya moto
Nimezungukwa Sitashindwa
Ulinzi wako Kama tanda ya moto
Nimezungukwa Sitashindwa
Adui zangu Ni adui zako
Kama kufika kwangu Ni watangulie kwako
Adui zangu Ni adui zako
Kabla kufika kwangu Ni watangulie kwako
Adui zangu Ni adui zako
Kama kufika kwangu Ni watangulie kwako
Adui zangu Ni adui zako
Kabla kufika kwangu Ni watangulie kwako
Unaitwa Bwana wa Vita
Mtetezi wangu
Sitakufukiza napita
Maana Mungu Wetu atutetea eeeeeh
Tena Ni kamanda ushindi Ni lazima
Unaitwa Bwana wa Vita
Mtetezi wangu
Sitakufukiza ni mapito
Maana Mungu Wetu atutetea eeeeeh
Tena Ni kamanda ushindi Ni lazima
No comments yet