Disco Matanga Lyrics
Reckless x Zzero Sufuri x Exray -Disco Matanga
Eeeh eeh, eeh..
Majamaa tuheshimu matanga
Mengi sumu hayaa..
Na kwa mbao yangu
Wambo Kanambo akuje hapa tukisonganga
Si ndo wale hupiga tamasha kwa matanga
Whiskey inamix iwa na changaa
Ukishika dem bado unamokia ka guarana
Na ikijipa backstage utapata tukikazana
Yoh, disco matanga, eeh jo disco
Ati mnasemanga, disco matanga
Lifestyle ya ki star boy hebu tazama
Disco matanga, eeh jo, disco
Ati mnasemanga, disco matanga
Lifestyle ya ki star boy hebu tazama
Entry ni madem na mamorio wanachoma
Sssh! Ustake jua vile wanachoma
Gazeti yangu ndo naona mkiisoma
Na iskuwe hapo mnapanga kunipona
Tia lawama mi sinanga chuki
Usijifanye mtamu na hauitangwi nyuki
Bash ni official na tumepiga bila suti
Hapa tabia mbaya wote wanatoa chupi
John John, yes papa
Eating sugar, no papa
Telling lies, no papa
Open your mouth say ah ah ah
Tumetokea kwa ngero
Tunakatia mangeus wa mangero
Tunapatiana shoulder to lean on
Wakitupatia mavodoo ma Guino
Wengine wako sad wengine wanapretend
Wamefanya matanga ikae ka weekend
Wamedunga ni ka wanaenda club
Kwa disco matanga unaeza ona maajabu
Polititiana anakuja kudanganya kwa matanga
Na pesa ya wananchi akizubaa na marasa za wamama
What a shame, what a shame
Jaribuni kuheshimu disco matanga
Yoh, disco matanga, eeh jo disco
Ati mnasemanga, disco matanga
Lifestyle ya ki star boy hebu tazama
Disco matanga, eeh jo, disco
Ati mnasemanga, disco matanga
Lifestyle ya ki star boy hebu tazama
Naishi life imejaa na favour
Na give thanks to Jah it’s my pleasure
Tukiwachana mwingine nitapenda
Status ma updates tukidarana
World boss man a gyalis
Nikitokeaga kwa scene
Look bado huwaga safi
Shati white alafu look badder safi
Mambling kwa shingo utadhani nimetoka Wasafi
Khakhi ma “SSh Sssh” easy skunking’
Top shatta ghetto mi hukuwa top ranking
All dem galde
No comments yet