Dilated Lyrics
Wakadinali-Dilated
Mikasa leo mabunduki ndio zilikuwa zinafanya kazi,
Pupupupu, pu pu pu pu, si watu watakufa
Mimi mtu kama mimi sina bunduki
Sina bunduki, na hivyo DCIO
GK wakuje watusaidie
Si hukam na mamacho dilated
Ofcouse utaitana
Mikasa leo mabunduki ndio zilikuwa zinafanya kazi
pu pu pu,si watu watakufa
Mimi mtu kama mimi sina bunduki
Sina bunduki na hivyo Dcio,
Gk,wakuje watusaidie
Karao alihate mabro warelate
Ni mapro marijuana
Nguna ana, fake accent
Lakini amejaribu,
Ka uko na chest pains
Wacha tukujibu tunatibu wivu
Si hukam ,na mamacho dilated
Ofcouse utaitana
Karao alihate, mabro warelate
Ni mapro marijuana
Nguna ana, fake accent
Lakini amejaribu,
Ka uko na chest pains
Wacha tukujibu tunatibu wivu
No comments yet