Diana Bahati – One Day Lyrics

Kabla mama hajazima
Aliniambia kuna one day
Diana B on this
Teddy B

Wengi walianza mbele yangu
Saa hii hakuna mtu mbele yangu
Kwa uwanja nasimama peke yangu
Na pande ya wanaume noana tu, pete yangu
Nashukuru mungu kwa ma blessings
Na mi siishigi na ma settings
Hata kuzaa tu maingia trending
Najua nawaudhi sana wale wanipendi
Nafunga deals kama ramadham
Navuruga industry ki Afghanistan
Bag gal, dal done
Kichwa mbaya nickname yangu Taliban

Kabla mama hajazima
Alinimbia kuna one day
Nikijikaza nikijituma
Nitaenjoy some day
Kabla mama hajazima
Alinimbia kuna one day
Nikijikaza nikijituma
Nitaenjoy some day

James bond niite 007 (007)
Nabring destruction kama 911 (911)
Wanasema nimeoa boy wa 97
Na huyo katumbo ati nani baba heaven
Kama ni mistari siwezi miscarry
Na deliver kama mkunga hospitali
Niki miss party is a big worry
Freezz, ka msafari ame miss gari
Nafunga deals kama ramadham
Navuruga industry ki Afghanistan
Bag gal, dal done
Kichwa mbaya nickname yangu Taliban

Kabla mama hajazima
Alinimbia kuna one day
Nikijikaza nikijituma
Nitaenjoy some day
Kabla mama hajazima
Alinimbia kuna one day
Nikijikaza nikijituma
Nitaenjoy some day


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists