Shusha Lyrics
Nawashusha, Shusha,Shusha,
Nawashusha, Shusha!(×2)
Wapo top ten, Shusha,Shusha,
Wapo on trend, Shusha!(×2)
Wanataka shindana na Simba
Washindane na Dangote
Wakati bado makinda
Mie maji wao tope
Eeh waulize wamesikia
Panya kula paka
Nasema wamesikia
Kibogoyo akang’ata
Waambie choche
Hili choche watu hawapitagi
Hee waambie choche
Sema vyoko tulianzishe vadi
Nawashusha, Shusha! Shusha,
Nawashusha, Shusha!(×2)
Wapo top 10, Shusha! Shusha!
Wapo on trend, Shusha(×2)
Nawashusha, Shusha! Shusha!
Nawashusha, Shusha!
Ona nawashusha, Shusha! Shusha!
Nawashusha, Shusha!
Tumewapa nafasi kidogo
Wameanza kuleta dharau, Shusha
Wameshika visenti kidogo
Wanapanda mpaka dharau Shusha
Wamejisahau Shusha
Wanaleta dharau Shusha
Mimi napiga collabo na simba Shusha
Wewe kapige na nyau Shusha! Shusha
Nazidi kushusha mangoma
Mpaka waseme
Na bado nitawapa homa
Mpaka waseme
Maneno yanavyowachoma
Mpaka waseme “Rudi Kigoma”
Na wameshameza ndoano
Mpaka wateme
Nawashusha, Shusha Shusha
Nawashusha, Shusha
Wapo top 10, Shusha Shusha
Wapo on trend, Shusha
Wapo top 10, Shusha! Shusha
Wapo on trend, Shusha
Nawashusha, Shusha!
Nawashusha, Shusha
Ona nawashusha, Shusha
Nawashusha, Shusha!
Wanaporomoka aaii
Moja moja chali chini Shusha Shusha
Wanadondoka
Moja moja chali chini
Wanaporomoka Shusha
Moja moja chali chini,
Wanadondoka, Shusha
Moja moja chali chini
No comments yet