Waah! Lyrics
Diamond Platnumz ft Kofi Olamide-Waah!
Anachukua anaweka Wa
Anachukua anaweka Wa
Kaghamu kupendwa na
Kaghamu nasikia
Tamu kupendwa nawe
Tamu kupendwa nawe
Oh maneno maneno tumeyazoea,
Vijineno neno tushazoea,
Wapenzi wangu ku-party
Kwani ninawahusu,
Shepu yake mbaya ,hivi inawahusu
Udangaji umalaya wao inawahusu nini
Wamegusa pabaya na mwaka huu
Lazima wachuchumae
Wameingia cha kike,
Cha kike,
Wameingia,
Cha kike,
Wameingia cha kike,
Cha kike,
Wameingia cha kike,
Cha cha kike,
Aah Bakokote Babu Tale
Don Mendez Ba Junior
Chumbani Hennessy,
Hunipatia panadol,
Kuchenga za Messi,
Na mashuti ya Ronaldo,
Yaani ndani nikiingia tu,
Anachukua anaweka Wa
Ah kwenye gari
Anachukua anaweka Wa
Iwe jikoni ama varandani
Anachukua anaweka Wa
Doze doze,
Anachukua anaweka Wa
Yaani baadae salama joto
Toa leso nipepepee
Oya kombo joto
Toa leso nipepepee
Oya mzee kunami, jipepe
Oh Ricardo Momo, jipe
Oya mama Ndangote, jipe
Eeh Doni Fumbwe, jipe
juu, jipee
Juu juu jipee
Juu , jipee
juu, jipee
Eeeh ah
Eeeh We
Usiniguse, usinitouch
Tusalimiane kwa miguu
Usiniguse, usinitouch
Tusalimiane kwa miguu
Ooh nasema usiniguse, usinitouch
Salamu iwe kwa miguu
Usiniguse, usinitouch
Tusalimiane kwa miguu
Ooh kwanza kaa mbali
Corona coro, corona coro
Mwenzako naogopa
Corona coro, corona coro
Kwa tena vaa maski
Corona coro,
Mikono yako kuosha
No comments yet