Dear Shakilla Lyrics
Kapedo-Dear Shakilla
Dear Shakilla nahope uko poa,
Pia nahope unaenjoy,
thatshort fame umepata juzi,
By the way mtaani umeget fame sana,
Ukipita mtu aulize we ni nani,
Utaskia huyu anaitwa Shakilla,
Na ikifika, ni kutwerk she is a killer
Najua ukiskia ,hii poem utaropoka sana
Ju si ni juzi, tu Kamene na Jalas
Walijaribu kukusaidia
Walidhani wanaweza kukutoa kwa street
Hawakujua ulikuwa the whole street
Na offlate umeropoka sana, wacha nikushow,
Wewe si ,gas punguza pressure
Ulidanganywa na maboy flani,
Ati shake what your mama gave you
Ukatingisha matako,
But niko sure kitu mamako alikupea ni akili
So ungetingisha kichwa ata Teadrops anajua,
Ju unajiona sana Kim Kardashian, lakini wacha niku Kanye,
Hawa wanaume watakupeleka East to West wakuwaste,
Naskia unataka tu wanaume wana Range Rover,
Lakini wakisha kubendover alafu wakuturn over,
Watakuacha kama left overs
Hii dunia kanyanga pole pole
Ju ukijifanya unajua utajua haujui
Na kama role model wako ni Shakilla
Uliza Mungu ulikosea wapi
Ati Lupita Nyong’o sio role model wako
No comments yet