Darasa

Size Yao

Size Yao Lyrics

Darasa-Size Yao

I’m looking for my money, money where you are’
Sijalala nyumbani! money on my mind!
Nyakati za mtaani money where you are!

Roho safi, low cut, nywele si akili!
Ficha white si tunapinduka mtaa wa pili
Kahawa ndo nakaa kitako nasubiri
Ukitaka nafasi ukitaka power go and get it

Kaka mgongo hupati! labda nikupe katika
Nishazoea kupanda watu kama majukwaa!
It doesn’t matter where you from!
It doesn’t matter who you are’
Kubali kataa ubao hauandikwi kwa mkaa

Nakwambia we kama je alivyoniambia mimi
Lazima machozi jasho na damu mwilini
Usiwaamini watakwambia hauwezi kuwini
Ng’ombe masikini nini nini huwezi kutoka chini

Eeeh eeh sio size yao!
Eeeh eeh sisi sio size yao!
Eeeh eeh sio size yao!
Wameshajua sisi sio size yao

Oooh ooh sio size yao!
Oooh ooh ‘sio size yao!
Oooh ooh sio size yao!
Wameshajua sisi sio size yao

Kuzaliwa Ngare; Naro tu yenyewe baro
Nimekuzwa na ugali kachumbari masala
Natoka mtaani dirisha pembeni mtaro
Mafekeshe ndo wamefanya nikaitwa Njanjaro

Weka distance mi nawe hatufanani
Usifanye mistake, mi nawe hatujuani
It doesn’t make sense hainiingii kichwani
Why you hate man? Unataka nifeli njiani

I’m a badman toka Dogo Dogo
Sekunde mtu sekunde Mbogo Mbogo
Kufika hapa sio kazi ndogo ndogo
Ukitaka kuacha kapa kakuwa fogo fogo

Eeeh eeh sio size yao
Eeeh eeh sisi sio size yao
Eeeh eeh sio size yao
Wameshajua sisi sio size yao

Oooh ooh sio size yao!
Oooh ooh sio size yao’
Oooh ooh sio size yao!
Wameshajua sisi sio size yao

Najua nimetoka wapi’
I’ve been struggling for my life eeh
If I never take chances
Nothing gonna change in my life eeh!


Related Lyrics

Added by

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists