Darasa

Hasso

Hasso Lyrics

Darasa- Hasso

Wanasubiri kisha piga bao
Waje kusema ulisotaga nao
Wana habari zangu mi sina zao
Wanapiga campaign mbonge na vikao
Vikao vikao vikao vya kwao

Wako ndani nje wametega antenna
Huku mtaani watu hawakosagi cha kusema
Amsha majirani maana tumerudi tena
Kila chaka kila banda la sinema

Nitizame kwenye macho niambie unaona nini
Hasso hasso
Ukiniona nakula ujue nimemwaga mwilini
Jasho jasho

Maisha safari somebody say oooh
Nimetoka mbali somebody say yeah yeah yeah

I don’t, I don’t
I don’t stop
No matter what, what
No mattter what happen

I don’t, I don’t
I don’t stop
No matter what, what
No mattter what happen

Nataka power respect
Go get money, get money oh get money
Napiga story sawasawa
Oh that’s funny

Nataka power respect
Go get money, get money oh get money
Napiga story sawasawa
Oh that’s funny

Kama usipotoka kuifuata haitembei
Ukiitafuta ipo riziki haipotei
It doesn’t matter what them people say
I gotta go I gotta do my way

Mwanaume ukijituma hardwork pays
Mwanamke ukijitunza anapanda bei
Kitu kama chako nobody can take away
People talk too much muda hauongei

No worry, no doubt, no question
Hakuna milio hakuna vibration
What you talking about nionyeshe
Mbona unazunguka kwenye roundabout no direction

Nitizame kwenye macho niambie unaona nini
Hasso hasso
Ukiniona nakula ujue nimemwaga mwilini
Jasho jasho

Maisha safari somebody say oooh
Nimetoka mbali somebody say yeah yeah yeah

I don’t, I don’t
I don’t stop
No matter what, what
No mattter what happen

I don’t, I don’t
I don’t stop
No matter what, what
No mattter what happen

Nitizame kwenye macho niambie unaona nini
Hasso hasso
Ukiniona nakula ujue nimemwaga mwilini
Jasho jasho


Related Lyrics

Added by

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists