Darasa

Blessings

Blessings Lyrics

Darasa-Blessings

Nakuwaga kimya miwani kimya ucap!
Kuongea na mjinga’ better I talk to myself
Nishaogelea maji mafupi marefu’
Nishagongea mlangoni kwako I need help

Nyumba nayo kaa’ magari nayoendesha
Nasaidia watu na watoto nasomesha
Custom made suit nashonesha
Nalipa bills zangu na naishi bila presha

Na kama unataka! kunichimba chimba
Mara sijui anatinga anavimba!
Anaringa go ahead sema uwongo’
Shida mwanaume’ unakuwa na wivu na uchungu wa mimba

Nashukuru bado! kunakucha freshi
Hakuna noma hakuna stress’
Nashukuru bado kunakucha freshi
Just wanna thank God for blessing

Huyo nilivyo once I say
Nashukuru God baba anabless, anabless anabless
Amenipa nafasi ye
Nashukuru God baba anabless, anabless anabless

Nimetoka pabaya
Mpaka na kufika na maisha haya
Nimetoka pabaya
Tunabang bang hatunaga baya iyee

Vitu nimepitia, vitu nimesikia
Vitu nimeona
Vile vitu nimepitia, vitu nimesikia
Vitu nimeona

Sometimes nakuwa bahati kupona
Maisha ya kugombania mpira wa kona
Remember back in the day ilikuwa noma
Hata nguo ikichanika unashindwa kwenda kushona

Kuonekana sehemu nishai
Kuwapa “Hi” mademu ni dry
Now my name is up in the sky
I know you hater hamwezi kufurahi

Nashukuru bado kunakucha freshi
Hakuna noma hakuna stress
Nashukuru bado kunakucha freshi
Just wanna thank God for blessing

Huyo nilivyo once I say
Nashukuru God baba anabless, anabless anabless
Amenipa nafasi ye
Nashukuru God baba anabless, anabless anabless

Nimetoka pabaya
Mpaka na kufika na maisha haya
Nimetoka pabaya
Tunabang bang hatunaga baya iyee

Eyoo classic, they call me Touch
Nothing but the best
Don’t fake, don’t hate
Go count your blessings


Related Lyrics

Added by

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists