Baba Lyrics

Country Wizzy-Baba

Mmmh! Paul maker ‘
Turn Me Up Little Bit More !
Lets Get it!

Nshazungukwa na wana wengi They never Change Me;
Nshawaweka sana Benchi Kudadadeki!
Ukila buyu mbona fresh sidili na feki;
Awanikubali Mi ni Monster They UnderRate me!

In My City Yoow Wananiita mandingo!
Navyo dribo kwa izi flows Wananiita Taliboo’
Yes Im So Fresh’
Vile na Clean Nice Mazee Im So Fresh;

Formation Yetu,
Inbobo Babe full;
Tunaishi nao na hatuna Vyetu Ni Mikogo Tu;
Malaya ni kimoko;
Ukiniona na Demu wako wa mjini ujue;

Mitaa imeshanipa Ruksa Hainipingi;
Watoto wakitaka Ruka Ni vigingi;
Mkongo Ukiuvalia Shuka Ni Ushindi
Mimi Ni Mkulungwa all time Misanja Bingi;

Wakiuliza Huyu Nani Waambie Ni Gaddafi
One more time bebe;
Whats My Name Yoooow !

Na magoli yangu Ya offside nyuma ya Beki!
Kuniita show sio Poa Bonge la Bajeti!
Mambo Ya Ela ndogo ndogo Please Don’t Beg Me;
Chako changu baba Cha kwangu! hakiombekii

Washamba wanakunja Eti Nina Ball
Wanauliza Vile Na Roll
Nacheka tu Wha;
Naitwa Fisi Wa Rap Kwa hizi Flows Nakujuza!
If you didnt know,now you know Niggaaa

Flow ni New Skull naziko Marinated
Ma fans wanataka flavour So Acha nizilete
Naitwa KING bila Crown Can You Bieleve It
Wasioniamini Drop Down i Just Delete it

Go go Tell Everybody
KondeGang For everybody
Tuko Peace heey Buddy
Dont hate Nobody
Nikiwa stage Show kali
Kuhusu Swagg im your Daddy
Ladies they know about it (Uwiiii)


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists