Zawadi ya Harusi Lyrics
Hii ni zawadi yangu nakupa mapema kabisa
Kwa ajili ya siku yako ya harusi
Kila la heri kwenye maisha yako ya ndoa
Zedka
———–
———–
Eeh kazadi ni mtu ya watu
Mtoto ya Mungu wote mama langu
Afrocinema ye ni mama watoto
Acha tufurahi kwa sababu ni siku yetu ya furaha
Zadioka Zaddy anafunga ndoa na mke wake
Mbele ya familia mbele ya marafiki
Kwanza Mungu Baba mbinguni amefurahia
Sasa wenye wivu wajinyonge (Aah wajinyonge)
Sasa wenye wivu wajinyonge (Aah wajinyonge)
Ah tutacheza, leo tutakesha eeh
Hakuna kulala leo tunavuta jiko
Zadioka Zaddy king of Colorado
Igwe oduku papa na miradi
Papa na —, papa na —
Eeh kazadi ni mtu ya watu
Mtoto ya Mungu wote mama langu
Afrocinema ye ni mama watoto
—-
Asante sana kwa malezi yako bora..
Tutacheza leo miziki ya Congo
Miziki ya Congo
Wataona leo mauno ya Congo
Mauno ya Congo
Tutacheza leo miziki ya Congo
Miziki ya Congo
Obina leo miziki ya Afrika
Sasa wenye wivu wajinyonge (Aah wajinyonge)
Sasa wenye wivu wajinyonge (Aah wajinyonge)
Ah tutacheza, leo tutakesha eeh
Hakuna kulala leo tunavuta jiko
Zadioka Zaddy king of Colorado
Igwe oduku papa na miradi
Papa na —, papa na —
Eeh kazadi ni mtu ya watu
Mtoto ya Mungu wote mama langu
Afrocinema ye ni mama watoto
—
—
Zadioka Zaddy king of Colorado
Igwe oduku papa na miradi
Papa na —, papa na —
Eeh kazadi ni mtu ya watu
Mtoto ya Mungu wote mama langu
Afrocinema ye ni mama watoto
No comments yet